Masoud Djuma Afunguka Mazito Kutimuliwa Simba | Akubali Kuondoka

2018-09-03 16

Kocha msaidizi wa simba Masoud Djuma amesema endapo atatimuliwa ndani ya Simba ataenda kwingine kwavile anaweza kufanya kazi popote, ni baada ya kuenea kwa tetesi za kutimuliwa ndipo alipofunguka alipohojiwa na gazeti la Nipashe Jumapili.


Credit:Nipashe Jumapili.

#MasoudDjuma,